BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Bobi Wine 'ahofia maisha yake' baada ya Uchaguzi Uganda
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amesema kwamba maisha yake yamekuwa yakitishiwa kufuatia uchaguzi wa Alhamisi ambapo rais Yoweri Museveni alihifadhi kiti chake na hivyobasi kushinda muhula wa sita kuliongoza taifa hilo.
Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii
Mwanamuziki wa Tanzania CPWAA aaga dunia
Msanii wa Tanzania Ilunga Khalifa maarufu CPwaa amefariki mapema siku ya Jumapili katika hopsitali ya kitaifa ya Muhimbili ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.
Joe Biden kutumia uwezo wake kubadili sera za Trump siku ya kwanza ofisini
Maelezo yameanza kujitokeza kuhusu amri zinazoandaliwa na rais mteule Joe Biden punde atakapochukua mamlaka
Tetesi za soka Ulaya 17.01.2021
Juventus inajiandaa kuwailisha ombi la kumsajili kiungo wa kati wa Man United Paul pogba mwisho wa majira ya joto, wakiamini kwamba Man United watalazimika kupunguza bei ya kumuuza mchezaji huyo wa Ufaransa , 27 ambaye kandarasi yake itakamilika majira ya joto 2022.. (Calciomercato, via Sunday Express)
Museveni aibuka mshindi uchaguzi Uganda
Lakini Mpinzani wake mkuu Bobi Wine anadai kura ziliibwa na kuapa kutoa ushahidi.
Jinsi uapisho wa Joe Biden utakavyokuwa tofauti huku ulinzi ukiwa mkali?
Imejulikana kwa muda mrefu mipango ya shughuli hii ambayo ilipangwa kufanyika Januari 20. ambayo itakuwa tofauti kutokana na masharti dhidi ya virusi vya corona.
Uchaguzi Uganda 2021:Kwanini Yoweri Museveni amedumu madarakani muda mrefu?
Rais Yoweri Museveni amefanikiwa vipi kuwa madarakani muda mrefu katika taifa ambalo kabla yake hakukuwahi kuwa na kiongozi aliyekaa madarakani kwa hata miezi 10.
Video, Waangalizi wa Afrika Mashariki: Uchaguzi wa Uganda ulikuwa wa huru na haki, Muda 4,45
Kwa ujumla uchaguzi uliongozwa kwa njia ya amani, bila purukushani wala ghasia yeyote.
Mfungwa wa mwisho aliyehukumiwa kifo auawa chini ya utawala wa Trump
Adhabu ya kifo ya Dustin Higgs, 48, ni ya 13 kutekelezwa tangu Julai mwaka 2020.
Uchaguzi wa Uganda 2021
Kampeni zimeshika kasi nchini Uganda huku wananchi wakitarajiwa kupiga kura Januari 14,2021.
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 15.01.2021:
Mshambuliaji wa Nigeria Odion Ighalo, 31, anafikiria kuhamia katika ligi ya Marekani ya MLS . Uhamisho wake wa mkopo katika klabu ya Man United kutoka kwa klabu ya China ya Shanghai unakamilika mwisho wa mwezi huu. (ESPN)
Jedwali la Msimamo wa Ligi ya EPL 2020/21
Msimamo wa Ligi kuu ya England kufikia tarehe 14/01/2019.
Je Ronaldo amefikia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi duniani?
Cristiano Ronaldo kwa sasa ndio mfungaji wa magoli mengi katika historia ya soka duniani kulingana na ripoti baada ya kufunga bao lake la 759 akiichezea Juventus dhidi ya Sassuolo ambapo timu yake iliibuka na ushindi wa magoli 3- 1. Lakini je ni kweli?
Simba yapangiwa tena Al-Ahly, Vita Club
Droo ya makundi ya Klabu Bingwa barani Afrika imepangwa hii leo ambapo wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki Simba SC wamepangwa katika kundi la A Pamoja na mabingwa wa Afrika Al Ahly ya Misri.
Je hawa ndio wachezaji wanaosakwa na kila timu England
Wakati nusu ya kwanza ya msimu wa 2020-21 wa Ligi Kuu ya England unakaribia kumalizika, timu zinazoshiriki ligi hiyo bila shaka zimeanza kutafakari ni wapi vikosi vyao vinahitaji kuimarishwa.
Nataka kwenda kucheza soka Marekani - Messi
Nahodha wa Barcelona Lionel Messi amesema kwamba anatumai ataelekea kuendeleza soka yake Marekani wakati kandarasi yake itakapokamilika mwezi Juni.
Video, Mbwa anyakua kiatu cha mchezaji baada ya kuvamia uwanja wa soka Bolivia, Muda 0,34
A dog paused a football game for three minutes, as it ran around with a football boot in its mouth.
Wafahamu washindi wa Tuzo za FIFA
Robert Lewandowski, msahambuliaji nyota wa Bayern Munich ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa Fifa huko Zurich na kuwashinda washindi wa miaka iliyotangulia ,Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Video, Bobi Wine ataka watu wasubiri majibu kutoka kwa mawakala, Muda 0,30
Mgombea wa urais Bobi Wine ambaye alikuwa na wafuasi wengi vijana anasema atawaarifu watu kitakachofuata baada ya wakala kuja na majibu.
Video, Bobi Wine aiomba Tume ya Uchaguzi kuheshimu sauti ya waganda, Muda 0,55
Mgombea wa urais Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine ameiomba Tume ya uchaguzi kuheshimu sauti ya watu wa Uganda.
Video, Zoezi la upigaji kura likiendelea Uganda, Muda 0,54
Katika picha raia wa Uganda wakipiga kura
Video, Kuzimwa kwa mitandao ya kijamii Uganda kuna athari gani?, Muda 2,14
Maoni ya wakazi mbalimbali kuhusu hatua ya kuzimwa kwa mitandao ya kijamii.
Video, Bobi Wine asema Waganda wana fursa ya mwisho kuleta mabadiliko, Muda 2,52
Kampeini za uchaguzi mkuu nchini Uganda zinakamilika rasmi leo licha ya kuwa baadhi ya wagombea wa kiti cha urais tayari wamekamilisha mikutano yao ya kampeini.
Video, Baba mcheshi asema 'Kicheko ni dawa bora zaidi', Muda 2,11
Video ya mwanaume mmoja raia wa Irish aliyekuwa akibanwa na kicheko kila mara anapojaribu kurekodi ujumbe wa siku ya kuzaliwa ya mtoto wake wa kiume ilivyosambaa.
Video, John Katumba:Mkinichagua Jay Z, Beyonce na 50 Cent watakuja kuwekeza Uganda, Muda 2,20
John Katumba ndio mgombea nafasi ya Urais mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea nchini Uganda
Video, Mambo matano unayopaswa kufahamu kuhusu uchaguzi wa Uganda, Muda 3,45
Raia wa Uganda watapiga kura tarehe 14 Januari, mwaka 2021.
Video, Waganda wazungumza kuhusu matarajio yao katika uchaguzi mkuu, Muda 2,24
Huku uchaguzi mkuu wa Uganda ukitarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi wahandishi wetu wamezungumza na baadhi ya raia wa Uganda kuhusu wanachotarajia katika uchaguzi huo na kuandaa ta
Taarifa kuhusu Coronavirus
Aina mpya ya virusi vya corona: Je, tunajua nini?
Aina mpya ya virusi vya corona imekuwa ni ya kawaida ya virusi katika maeneo ya Uingereza
Ukipata maambukizi ya corona unaweza kuwa na kinga kwa miezi 5
Watafiti wanaonya kwamba bado kuna uwezekano wa kupata maambukizi na kuyasambaza kwa wengine.
Chanjo inayoweza kuzuia corona kwa 90% imepatikana
Chanjo ambayo inaonesha hatua kubwa ya kurejesha maisha kurudi kuwa kawaida ,ingawa changamoto zinaweza kusalia.
Sababu 5 kwanini Afrika haikuathirika sana na virusi vya corona
Nchi nyingi za Afrika zimesifiwa kwa kuzuia kusambaa kwa virusi vya corona licha ya mifumo ya afya katika baadhi ya nchi hizo kuwa mbaya.
Je wajua kuna 'aina tofauti' za corona?
Uchambuzi wa watafiti katika chuo cha King's College mjini London nchini Uingereza umeweza kuigawanya Covid-19 katika "aina " sita, kila aina ikitengwa kulingana na upekee wa dalili zake.
Ukweli kuhusu majira ya baridi na joto kuhusu corona
Magonjwa mengi ya maambukizi hutokea wakati tofauti katika mwaka.
Haba na Haba Redio
Sikiliza, Tanzania: Changamoto kwa watu walemavu kupata mkopo, Muda 29,03
Halmashauri zote nchini Tanzania zinapaswa kutenga asilimia mbili ya mapato yake kwa ajili ya walemavu.
Sikiliza, Ni kwa namna gani uwepo wa sheria ya umiliki wa ardhi inamuwezesha mwanamke kupata haki hiyo?, Muda 29,09
Serikali inafanya nini kuhakikisha sheria ya umiliki wa ardhi inawafaidisha wanawake.
Global Newsbeat
Sikiliza, Lady Gaga kuimba wimbo wa taifa Joe Biden akiapishwa, Muda 2,00
Lady Gaga na Jennifer Lopez watatumbuiza katika hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule Joe Biden. Gaga ataimba wimbo wa taifa katika sherehe hiyo tarehe 20 Januari
Kwa picha: Uvamizi wa bunge Marekani
Kwa Picha: Tazama jinsi waandamanaji walivyovamia bunge Marekani
Dira TV
Vipindi vya Redio
Wiki Hii, 07:00, 16 Januari 2021
Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki
Wiki Hii, 06:00, 16 Januari 2021
Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki
Dira Ya Dunia, 18:29, 15 Januari 2021
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
MBELE Amka Na BBC, 05:59, 18 Januari 2021
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Gumzo mitandaoni
Taliban yawaamuru makamanda wake kutooa wake wengi
Kiongozi wa kundi hilo nchini Afghanistan amesema "inachangia ukosoaji". Na pia gharama yake ni ya hali ya juu.
Nchi ambayo rais alipiga marufuku mitandao ya kijamii
Kutashuhudiwa ongezeko la taharuki kati ya mitandao ya kijamii na serikali za Afrka, wachambuuzi wanasema.
Njiwa 'aliyekiuka masharti dhidi ya corona' anusurika kifo baada ya kukutwa na lebo feki
Maofisa wanadhani ndege huyo atakuwa wa Australia tu kwa kuwa alikuwa na lebo ya bandia.
Australia kumuua njiwa wa Marekani 'aliyekiuka masharti ya Corona'
Mamlaka ya Australia inasema njiwa huyo atasafirishwa katika meli ya mizigo kwa kuwa ni hatari kwa usalama
Fahamu sababu zilizomfanya mwanamitindo wa kwanza kuvaa hijabu ‘kuacha fani hiyo’
Mwanamitindo wa kwanza kuvaa hijabu, Halima Aden, ameilezea BBC kwanini aliacha fani hiyo ya uanamitindo
Fahamu kinachofanyika baada ya rais kupigiwa kura ya kutokuwa na imani Marekani?
Johnson, Nixon na Clinton: Bw. Trump anafuata nyayo ya marais watatu wa Marekani ambao wamekabiliwa na kura ya kutokuwa na imani nao.
Je matokeo ya Uchaguzi Uganda kutoka lini?
Raia wa Uganda hii leo wanashiriki katika shughuli ya kihistoria ya kumchagua rais na wawakilishi wa bunge lao
Nyota wa pop achuana na mkongwe wa siasa katika uchaguzi Uganda
Mkongwe Yoweri Museveni anakabiliana na mwanamuziki -aliyeguka mwanasiasa Bobi Wine katika uchaguzi wenye ushindani mkali.
Kampuni mbalimbali zasitisha ufadhili wake kwa Republican
Baadhi ya wanasiasa wa Republican tayari wameanza kuhisi athari ya vurugu za Januari 6 ambapo wafuasi wa Trump walivamia bunge.
Serikali hufanikiwa vipi kufunga au kubana mtandao?
Nchi tofauti barani Afrika zimewahi kufungiwa au kubaniwa mitandao ya kijamii.
Matumizi ya Lugha
Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.
Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57
Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.